Soma kipeperushi cha kuhusu mikopo ya pembejeo
United Republic of Tanzania, Ministry of Agriculture, Food Security & Corperatives, Agricultural Inputs Trust Fund. AGITF. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mfuko wa Pembejeo.
Taratibu na masharti ya mikopo ya kununua trekta jipya
Taratibu na masharti ya mikopo ya kukarabati matrekta
UNATAKA FOMU ZA MIKOPO?
Mfuko wa Pembejeo unatoa mikopo ya kununua matrekta mapya, kukarabati ya zamani na zana zake, na pia mikopo ya kununua na kusambaza pembejeo za kilimo na mifugo.
Ukitaka fomu za mikopo ya kununua au kukarabati matrekta, bonyeza kwenye maandishi haya.
Ukitaka fomu za mikopo ya pembejeo za kilimo na mifugo, bonyeza kwenye maandishi haya
Historia fupi na madhumuni ya Mfuko wa Pembejeo
Walengwa na aina ya mikopo inayotolewa na Mfuko wa Pembejeo
Taratibu na masharti ya mikopo ya pembejeo za kilimo na mifugo