Recent News and Updates

NKM akutana na watumishi Kilimo.

Watumishi wa Wizara ya Kilimo wametakiwa kufanya kazi kwa ushirkiano mkubwa  ili kuweza kuyafikia malengo … Read more

Kilimo Kuwashirikisha Farm Africa kwenye ASDP II

Wizara ya Kilimo imekutana na Shirika linaloshughulikia kilimo la Farm Africa lengo likiwa ni kuona namna bora… Read more

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba

SERIKALI YARUHUSU WAKULIMA KUUZA MAHINDI NJE YA NCHI

Waziri wa Kilimo Mhe. Charles Tizeba amesema serikali imeruhusu wafanyabiashara na wakulima kuuza nje ya nchi mahindi… Read more

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akizungumza na wafanyakazi wa Bodi ya Kahawa kwenye ziara ya kikazi.

MHANDISI MTIGUMWE AITAKA BODI YA KAHAWA KUONGEZA UZALISHAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe ameitaka Bodi ya Kahawa ambayo ni Taasisi ya Serikali… Read more

Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa (Mb) akikagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Mara baada ya kutembelea Ofisi hizo huko Njiro Mkoani, Arusha, hivi karibuni

MHE. MWANJELWA ATEMBELEA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) ARUSHA

Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Mary Mwanjelwa hivi karibuni ametembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula… Read more