Highlights

Wadau Waombwa Kufadhili Mradi wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo ameomba wadau wa Kilimo   kufadhili mradi wa  kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi ili kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo…

Read more

MPANGO MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO LA MPUNGA WAZINDULIWA

Mpango Mkakati wa kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga awamu ya pili kutoka tani milioni 28 hadi tani milioni 56 ifikapo mwaka 2030 kwa nchi wanachama (National Rice Development Strategy Phase II - NRDS II) umezinduliwa rasmi…

Read more

Serikali Kusomesha Wataalam 100 Israel

Serikali kupeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel ili kujifunza  mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano baina  ya Naibu Waziri wa…

Read more

Serikali Kusomesha Wataalam 100 Israel

Serikali kupeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel ili kujifunza mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Wizara ya…

Read more

ADVERTISMENT FOR PREQUALIFICATION OF IMPORTATION FOR 2019 without yellow (1)

ADVERTISMENT  FOR  PREQUALIFICATION OF IMPORTATION FOR 2019 without yellow (1)

Read more

MTAALA MPYA WA KILIMO WAZINDULIWA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew  Mtigumwe  leo tarehe 21 Machi, 2019 amezindua rasmi mtaala wa Kilimo uliohuishwa  baada ya ule wa zamani uliofahamika kama mtaala wa kilimo mseto kuboreshwa. Akihutubia…

Read more

Wadau Wakutana Kujadili Mustakabali wa Sheria ya Kilimo.

Wataalamu  kutoka Wizara na Taasis mbalimbali wamekutana katika Ukimbi wa Misitu uliopo Kihonda Mkoani Morogoro lengo likiwa ni kujadili Sheria ya kusimamia eneo litakalotengwa kwa ajili ya shughuli za  Kilimo ambayo…

Read more

Hakuna Vibali vya Kuagiza Sukari kwa Wazalishaji wa ndani – Waziri Hasunga

Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano na Wadau wa Sekta Binafsi mara baada ya kufungua mkutano huo  uliofanyika katika ukumbi wa Mvuvi House Jijini Dar…

Read more