News and Events

Serikali Kushirikiana na FAO Kupambana na Sumukuvu na Uhifadhi Bora wa Mazao baada ya Kuvuna

Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi na pamoja na Shirika la Chakula Duniani (FAO) leo wametia sahini juu miongozo ya mashirikiano baina yao lengo likiwa ni kupambana na tatizo la sumukuvu katika baadhi ya maeneo hapa nchini…

Read more
Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Songea Bwana Morgan Mwaipyana wakati wa mahojiano maalum ofisini kwake hivi karibuni

Kanda ya Sumbawanga yanunua shehena ya mahindi kiasi cha tani elfu 20 msimu wa ununuzi wa 2016/17

Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Sumbawanga, Bwana Morgan Mwaipyana amesema kuwa Wakala, Kanda ya Sumbawanga imefanikiwa kununua mahindi kutoka kwa wakulima na kuvuka lengo kwa zaidi ya asilimia 104…

Read more
Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Makambako Bwana Bright Mollel akionyesha sehemu ambayo ujenzi wa ghala la chakula litakapojengwa huko Mbozi, Mkoani Songwe, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara (NFRA, Makao Maku

Wakulima katika Kanda ya Makambako waagizwa kuzingatia ubora na kuongeza thamani ya mazao yao

Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Makambako Bwana Bright Mollel alitoa ushauri huo kwa wakulima wa Nyanda za Juu Kusini wakati wa mahojiano maalum.

Read more
Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Makambako Bwana Bright Mollel akimuonyesha sehemu ya shehena ya mahindi kwenye maghala ya Makambako, Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara (NFRA, Makao Makuu) Bwana Joseph Ogonga, hivi karibuni

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Makambako yanunua Mahindi zaidi ya tani elfu 16

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Makambako yanunua Mahindi zaidi ya tani elfu 16 katika msimu wa kilimo wa 2016/2017

Read more

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Songea yafanikiwa kununua shehena ya Mahindi tani elfu10

Meneja wa Wakala wa Taia Hifadhi ya Chakula Kanda ya Songea Bwana Majuto Chabruma amesema Kanda yake imefanikiwa kununua kiasi hicho cha mahindi kwa mafanikio makubwa na kwa kuongeza Wilaya ya Songea Vijijini iliongoza kwa…

Read more

3rd Annual Agricultural Policy Conference - March 1-3, 2017

3rd Annual Agricultural Policy Conference - Serena Hotel, Dar es Salaam, March 1-3, 2017, "Topic: The Role of Agri-food Systems in Promoting Industrialization in Tanzania" Enhancing Linkage of Upstream and Downstream…

Read more
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizaya ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Bi. Nkuvililwa Simkanga

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Yakabidhiwa Gari la Sh 88 Milioni

Taasisi ya Ushirikiano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) imeikabidhi Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi gari lenye thamani ya shilingi milioni 88 za kitanzania itakayotumika katika Idara ya Mipango na Sera.

Read more
Waziri wa Kilimo, Dr. Charles Tizeba

Tizeba: Fanyeni Kazi kwa Kushirikiana

Waziri Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Dr. Charles John Tizeba amewataka wafanyakazi wa wizara yake kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Read more