News and Events

DKT TIZEBA ALITAKA JESHI LA POLISI KUTOA TAARIFA SAHIHI ZA AJALI YA WATUMISHI WATANO ILIYOTOKEA MKOA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) leo Jumanne tarehe 23 Octoba 2018 ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga miili ya watumishi watano wa wizara ya kilimo waliofariki kwa ajali ya gari juzi tarehe 21 Octoba 2018…

Read more

UNAWEZA KUWA NA CHAKULA KINGI LAKINI UKAWA NA NJAA- DKT TIZEBA

Utamaduni wa kula aina fulani ya chakula kwa aina moja tu ni miongoni mwa mambo yanayowafanya wananchi kukumbwa na njaa pindi kinapokosekana aina ya chakula kile walichokizoea. Moja ya matatizo makubwa katika jamii ni pamoja…

Read more

DKT TIZEBA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI HATI YA MARIDHIANO UKOPESHAJI WA MATREKTA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba leo tarehe 11 Octoba 2018 ameshuhudia utiaji saini hati ya makabidhiano ya ukopeshaji wa matrekta kwa vyama vya ushirika vya msingi. Katika hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi…

Read more

KATIBU MKUU KILIMO MHANDISI MTIGUMWE AKABIDHIWA RASMI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI

Katika kuongeza ufanisi kwenye matumizi ya umwagiliaji katika kilimo kama sehemu ya utekelezaji wa Programu ya kuendeleza sekta ya kilimo awamu ya pili (Agricultural Sector Development Programme -Phase Two -ASDP II) rasmi…

Read more

MAWAZIRI WA SEKTA YA KILIMO WATUAMA JIJINI DODOMA KUJADILI UTEKELEZAJI WA ASDP AWAMU YA PILI

Mawaziri wa wizara za sekta ya kilimo leo tarehe 10 Octoba 2018 wametuama  kwa masaa kadhaa Mjini Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kujadili kwa kina kuhusu maandalizi ya utekelezaji wa Mpango wa kuendeleza…

Read more

“WAZIRI TIZEBA ANAFANYA KAZI KUBWA”-WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) amepongeza juhudi za kiutendaji zinazofanywa na Waziri wa Kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) kuisimamia Wizara yake ikiwa ni pamoja na usimamizi…

Read more

DKT TIZEBA AZUIA HALMASHAURI KUTOA VIBALI VYA UNUNUZI WA KAHAWA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) amezuia Halmashauri zote nchini kujihusisha na utoaji wa vibali kwa wafanyabiashara vya kununua kahawa kwa wakulima.   Dkt Tizeba ametoa zuio hilo Leo tarehe 7 Octoba…

Read more

Wataalamu wa Kilimo Wametakiwa Kuwa na Tabia Ya Kusoma Vitabu

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof  Siza Tumbo amewataka watumishi na wataalamu wa wizara hiyo kujenga tabia ya kujisomea vitabu ili kuongeza uelewa utakaowasaidia katika kuendesha kazi zao za kiushauri . Akiongea…

Read more