Katibu Mkuu Kilimo Eng. Methew Mtigumwe (kulia) akiangalia bidhaa za zao la minazi

Eng. Methew Mtigumwe Katibu mkuu Wizara ya Kilimo (wa kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa utawala na rasilimali watu Bi. Hilda Kinanga (wa Pili kulia) pamoja na Dkt Joseph Ndunguru wakiangalia bidhaa zinazozalishwa kwa kutumia zao la minazi katika taasisi ya utafiti mikocheni hivi karibuni.