Katibu Mkuu MALF-Kilimo Eng. Methew Mtigumwe (kushoto) akipata maelezeo kutoka mahabara ya kilimo

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo mifugo na uvuvi (idara kuu kilimo) Eng. Methew Mtigumwe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa taasisi ya Utafiti Mikocheni (ARI MIKOCHENI) Dkt. Joseph Ndunguru alipotembelea mahabara ya kilimo hivi karibuni.