Mhe.Wiliam Tate Ole Nasha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akishiriki kuvuna mahindi ya wanakijiji

Mhe. Wiliam Tate Ole Nasha ,Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi wakishirikiana kuvuna mahindi ya wanakikundi wa kijiji cha Wende kilichopo kata ya Mseke wilaya ya iringa vijijini chini ya mradi unaotekelezwa na kampuni ya One Acer Fund wakati wa siku ya mkulima iliyofanyika kijijini hapo hivi karibuni.