Naibu Waziri-MALF Mhe. William Tate Ole Nasha (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi nane nane 2017

Naibu Waziri-MALF Mhe. William Tate Ole Nasha (Mb) akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Charles Tizeba wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima – Nane Nane, Kitaifa katika Viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya Ngongo Mkoa wa Lindi tarehe 1/08/2017