Rais mstaafu Mhe. Ally Hassani Mwinyi akionesha kitabu alichokabidhiwa na Mheshimiwa Rais Dkt. John

Rais mstaafu Mhe. Ally Hassani Mwinyi akionesha kitabu alichokabidhiwa  na Mheshimiwa Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pembeni ni waziri wa kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba