Habari Zinazojiri

Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba (katikati) akisisitiza jambo Wakati wa Mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Lenny Hotel, Mjini Geita, Mwingine ni Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Kushoto) na Katibu Mkuu Wizara y

DKT. TIZEBA AFUKUZA KAZI WATATU, ATOA ONYO KWA WATATU

Waziri wa Kilimo, Mhe. Dkt. Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mhandisi Methew Mtigumwe  kuwafukuza… Soma zaidi

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa

Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa Naibu Waziri Ateta na TFRA

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) kuongeza… Soma zaidi

kushoto ni Dkt. Mary Mwanjelwa, katikati ni Katibu mkuu Wizara ya Kilimo Eng. Methew Mtigumwe  pamoja na watumishi wengine.

Watumishi wampokea kwa furaha Naibu waziri Dkt Mary Mwanjelwa

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Eng. Methew Mtigumwe leo amewaongoza  Watumishi wa Wizara ya Kilimo kumpokea… Soma zaidi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KUTUMA MAOMBI KUJIUNGA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO-2017/18

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO KWA MWAKA WA MASOMO… Soma zaidi

WAZIRI TIZEBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA (FAO) JOSÉ GRAZIANO DA SILVA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, (FAO), Bwana José Graziano da Silva,… Soma zaidi