Habari

Mtama zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia ukame

Mtama zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia ukame 

Soma zaidi

MKULIMA MAHIRI WA SHADIDI

MKULIMA MAHIRI WA SHADIDI

Soma zaidi

MHE. HASUNGA AKIKAGUA MAHINDI

MHE. HASUNGA AKIKAGUA MAHINDI 

Soma zaidi

SHAMBA LA MPUNGA - MKINDO

SHAMBA LA MPUNGA  - MKINDO

Soma zaidi

TUNAFANYA MAPITIO YA SIFA ZA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA – MHANDISI MTIGUMWE

Wizara ya Kilimo ipo katika mapitio ya sifa za viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini ili kupata viongozi watakao ongoza kwa weledi sekta ya Ushirika.   Dhana ya kuchagua viongozi wa ushirika wenye sifa ya kujua kusoma…

Soma zaidi

WAZIRI WA KILIMO AKUTANA NA WADAU TASNIA YA MBEGU NCHINI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 12 Januari 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa kuendeleza tasnia ya mbegu nchini.   Katika Kikao kazi hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo…

Soma zaidi

SERIKALI KUSAINI MIKATABA YA UBANGUAJI WA KOROSHO JANUARI 10

Serikali imesema kuwa tarehe 10 Januari 2019 itasaini mikataba na wamiliki wa viwanda vya ubanguaji wa korosho waliojitokeza kwa ajili ya kubangua korosho za serikali za msimu wa mwaka 2018/2019 zilizonunuliwa na serikali…

Soma zaidi

IFIKAPO JUNI 2019 WAKULIMA WOTE WATAKUWA WAMESAJILIWA NA KUWA NA VITAMBULISHO – MHE HASUNGA

Wizara ya Kilimo imeanza kuandikisha wakulima nchini kwa lengo la kuwatambua ili kuwarahisishia huduma mbalimbali zikiwemo uhitaji wa pembejeo za kilimo.   Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo wakati…

Soma zaidi