Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe   Sheria mpya ya zana za kilimo ni kichocheo cha mapinduzi ya kilimo kwa wakulima wadogo na wakubwa hasa katika kipindi hiki cha…

Soma zaidi

MHE HASUNGA AKABIDHIWA RASMI OFISI, DKT TIZEBA ASHAURI MAZITO KUHUSU KILIMO

Aliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba ambaye ni Mbunge wa Buchosa Mkoani Mwanza leo tarehe 22 Novemba 2018 amemkabidhi rasmi ofisi Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb).   Makabidhiano hayo yamefanyika…

Soma zaidi

MHE HASUNGA AKABIDHIWA RASMI OFISI, DKT TIZEBA ASHAURI MAZITO KUHUSU KILIMO

Aliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba ambaye ni Mbunge wa Buchosa Mkoani Mwanza leo tarehe 22 Novemba 2018 amemkabidhi rasmi ofisi Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb).   Makabidhiano hayo yamefanyika…

Soma zaidi

Naibu Waziri Mhe. Innocent Bushungwa wakati wa mjadala na wakurugenzi wa Bodi za mazao katika Mkutan

Naibu Waziri Mhe. Innocent Bushungwa wakati wa mjadala na wakurugenzi wa Bodi za mazao katika Mkutano  uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa NFRA

Soma zaidi

Mhe. Josephat Hasunga Waziri wa kilimo akisisitiza jambo wakati wa mkutano na Bodi za mazao uliofa

Mhe. Josephat Hasunga  Waziri wa kilimo akisisitiza jambo wakati wa mkutano na Bodi za mazao  uliofanyika katika ukumbi wa NFRA Dodoma hivi karibuni

Soma zaidi

MHE HASUNGA AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA UBORA WA KOROSHO

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametaka watendaji wa Bodi ya Korosho na Waendesha maghala kusimamia kwa weledi ubora wa korosho ili fedha za serikali zinazotolewa kwa ajili ya kununua korosho za wakulima katika mikoa…

Soma zaidi

Mhe. Bashungwa. Ateta na Wanaushirika

Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe Innocent Lugha Bashungwa  amesema mfumo wa ushirika  ni nyenzo muhimu ambayo ukitumika vizuri itasaidia kuondoa  umaskini wa wakulima hapa nchini na utaimarisha uanzishwaji…

Soma zaidi

DKT TIZEBA ATEMBELEA MAONESHO YA SIDO ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA VIDOGO NCHINI

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba  (Mb) leo Alhamisi Octoba 2018 amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya Kitaifa ya Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika…

Soma zaidi