Habari na Matukio

Benki zatakiwa kuwakopesha wanunuzi na wasindikaji wa mazao ya kilimo

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa  Charles Tizeba  amezitaka Benki zikiwemo Benki ya Kilimo,CRDB,na NMB kuwakopesha wanunuzi wa mazao ya kilimo, wasindikaji, na wakulima wenyewe kwa kuwa wanategemeana Akiongea kwenye …

Soma zaidi

ASDPII Kuleta mabadiliko makubwa ya Sekta ya Kilimo

Programu ya kuendeleza sekta ya kilimo  awamu ya pili (ASDPII) imejipanga kuimarisha matumizi ya maji, kuongeza uzalishaji na tija, uongezaji wa thamani za mazao na kutengeneza mazingira wezeshi Akiongea kwenye …

Soma zaidi

NKM akutana na watumishi Kilimo

Watumishi wa Wizara ya Kilimo wametakiwa kufanya kazi kwa ushirkiano mkubwa  ili kuweza kuyafikia malengo  waliojiwekea na kuinua sekta ya kilimo hapa nchin

Soma zaidi

NKM akutana na watumishi Kilimo.

Watumishi wa Wizara ya Kilimo wametakiwa kufanya kazi kwa ushirkiano mkubwa  ili kuweza kuyafikia malengo  waliojiwekea na kuinua sekta ya kilimo hapa nchini Akiongea baada ya utambulisho uliongozwa na Mkurugenzi…

Soma zaidi

Kilimo Kuwashirikisha Farm Africa kwenye ASDP II

Wizara ya Kilimo imekutana na Shirika linaloshughulikia kilimo la Farm Africa lengo likiwa ni kuona namna bora ya kushirikiana katika kuendeleza sekta ya kilimo hapa nchini. Akiongea kwenye mkutano huo uliofanyika katika…

Soma zaidi

MHE. MWANJELWA ATEMBELEA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) ARUSHA

MHE. MWANJELWA ATEMBELEA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) ARUSHA

Soma zaidi
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba

SERIKALI YARUHUSU WAKULIMA KUUZA MAHINDI NJE YA NCHI

Waziri wa Kilimo Mhe. Charles Tizeba amesema serikali imeruhusu wafanyabiashara na wakulima kuuza nje ya nchi mahindi ili kuimarisha soko na kuchangamsha bei ya zao hilo. Akiongea ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa…

Soma zaidi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Eng. Mathew Mtigumwe alipotembelea bodi ya kahawa Kilimanjaro

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe alipotembelea chumba cha kuchotea sampuli zinazopelekwa ambazo ni kilo 8 na kuchotea Gramu 300 kwa Loti.

Soma zaidi