Katibu mkuu Kilimo Eng Mtigumwe akipewa maelezo jinsi taasisi ya TOSCI inavyofanya kazi

Katibu mkuu Wizara ya Kilimo mifugo na uvuvi Eng Mtigumwe akipewa maelezo jinsi taasisi ya TOSCI (Tanzania Official Seed Certification Institute) inavyofanya kazi zake ndani ya moja ya maabara za tasisi hiyo iliyopo SUA, Morogoro.