Katibu Mkuu Kilimo Eng. Methew Mtigumwe (kushoto) alipotembelea kituo cha udhibiti wa panya

Katibu Mkuu MALF-kilimo  Eng. Methew Mtigumwe (kushoto) pamoja na mkurugenzi msaidizi wa utawala wa wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Bi Hilda Kinanga (kulia) wakipokelewa na mkuu wa kituo  kituo cha udhibiti wa panya wanaoharibu mazao kilichopo Morogoro.