Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Eng. Mathew Mtigumwe alipotembelea bodi ya kahawa Kilimanjaro

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe alipotembelea chumba cha kuchotea sampuli zinazopelekwa ambazo ni kilo 8 na kuchotea Gramu 300 kwa Loti.