Mheshimiwa Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani akimkabidhi

Mheshimiwa Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani akimkabidhi  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan kitabu cha ASDP II baada ya uzinduzi wa programu hiyo uliofanyika hivi karibuni katika jengo la mikutano la Mwalimu JK Nyerere hivi karibuni