Mkurugenzi Mkuu wa FAO, José Graziano da Silva akimpongeza waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tzeba

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, (FAO), José Graziano da Silva (Kulia), akimpongeza Waziri wa kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Charles Tzeba mara baada ya kuelezea taarifa mbalimbali zihusuzo Wizara.