Nane nane 2017 Morogoro-Mh, Eng.Dkt. Charles Tizeba akisikiliza maelezo kutoka kwa muonyeshaji

Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugona Uvuvi, Mh, Eng.Dkt. Charles Tizeba alipotembelea maonyesho ya Nanenane Morogoro 2017 na hapo akiwa ndani ya banda la Halmashauri ya wilaya ya Temeke akisikiliza maelezo kutoka kwa muonyesha wa bidhaa za kilimo zipatikanazo ndani ya Halimashauri hiyo.