Nanenane 2017-Mh, Eng. Dkt. Charles Tizeba akipata maelezo kutoka kwa mtafiti wa zao la pamba

Waziri wa Wizara ya Kilimo MifugonaUvuvi, Mh, Eng. Dkt. Charles Tizeba alipotembelea maonyesho ya Nanenane Morogoro 2017 na hapo akiwandani ya banda la Taasisiza Utafitiwa Kilimo lililopo chini ya Wizaraya Kilimo Mifugo na Uvuvi akisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa mtafiti wa zao la pamba, kushoto ni Dkt.Geofrey Mkamilo mkurugenzi utafiti kanda ya mashariki.