Waziri wa Kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba (Mb) akitembelea shamba la maonyesho na uzalishaji mbegu k

Waziri wa Kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba (Mb) akitembelea shamba la maonyesho na uzalishaji mbegu kabla ya kuzindua aina mpya Tisa za mbegu bora za maharage katika hafla iliyofanyika kwenye eneo la Taasisi ya utafiti wa Kilimo na Maendeleo Kanda ya Kaskazini (Selian) Mkoani Arusha, Leo 20 Juni 2018.