RASIMU YA HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS
MHE. DKT. ALI MOHAMED SHEIN, WAKATI WA MAADHIMISHO YA
SIKU YA CHAKULA DUNIANI MBINGA – OKTOBA
16, 2003
Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo na Chakula,
Mhe. Prof. Pius Mbawala, (Mb.)
Mwakilishi
wa Shirika
la Chakula na Kilimo (FAO)
Mwakilishi
wa Shirika
la Mpango wa Chakula (WFP)
Mwenyekiti
wa Kamati
ya Tele - Food
Waheshimiwa
Mabalozi
Viongozi wa Vyama
vya Siasa,
Wageni waalikwa
Mabibi na Mabwana
1. Ndugu Wananchi, leo tuko
hapa kwenye kijiji cha Maguu kuadhimisha siku ya Chakula duniani. Naushukuru uongozi wa
Mkoa wa
2. Mheshimiwa Mkuu
wa Mkoa, mnamo mwaka wa 1979 nchi wanachama wa Shirika
la Chakula la Umoja wa Mataifa, linalojulikana
kwa kifupi
3. Ndugu Wananchi, kwa jumla
kuna chakula kingi cha kutosha duniani cha kuwezesha kila mtu kula
akashiba. Taarifa za FAO zinaonyesha kwamba wapo watu mia
nane milioni katika dunia ambao
hawapati chakula cha kutosha, au, kwa
maneno mengine, ambao hawali wakashiba. Kwa upande wa
4. Ndugu Wananchi, madhumuni ya maadhimisho
ya Siku ya
Chakula Duniani ni kuhamasisha umma na watu
wote ulimwenguni kutoa kipaumbele katika kuhakikisha kwamba watu wote
Duniani – watoto, watu wazima na
wazee, wanakuwa na uhakika wa
kupata chakula cha kutosha na chenye
viinilishe vinavyotakiwa kwa afya bora,
kwa muda wote wa maisha
yao.
5. Kila mwaka
FAO hutoa kaulimbiu maalumu ambayo huwa dira wakati
wa maandalizi
ya maadhimisho ya Siku ya
Chakula Duniani. Kaulimbiu ya mwaka wa 2003 ni “Mshikamano wa Kimataifa
Dhidi ya Njaa” (International