WAZIRI BASHE AKUTANA NA WADAU WA PAMBA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amefungua na kuongoza Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba tarehe 23 Machi 2024 katika Hoteli ya Morena, jijini Dodoma. Mkutano huo umelenga kujadili zao la pamba na kupata mikakati…