Maeneo makubwa ya uwekezaji
"Maeneo makubwa ya uwekezaji ni ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji, miundombinu ya uhifadhi, uanzishwaji wa mashamba makubwa ya pamoja, upatikanaji wa pembejeo, utafiti na huduma za ugani”. Mhe. Hussein Bashe ,Waziri wa Kilimo