NAIBU WAZIRI MAVUNDE: SERIKALI YAANZA HATUA ZA AWALI ZA UJENZI WA MABWAWA NA SKIMU ZA UMWAGILIAJI WILAYANI MBARALI
Kufuatia maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuboresha Mpaka wa GN. 28, Serikali imeanza kufanya kazi ya kuyapitia maeneo yote ya kilimo kwa lengo la kujenga mabwawa 6 na skimu za kisasa…