Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo amekutana na Taasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation kwa mazungumzo ya masuala mbalimbali katika Sekta ya Kilimo. Pamoja na hayo, viongozi hao walizungumza kuhusu uzalishaji wa mbegu…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), na Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. David Silinde (Mb) wamekutana na Bw. Stanlake Samkange ambaye ni Mkurugenzi Mwandamizi wa…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Tanzania imepata mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 700 kutoka Benki ya Dunia (World Bank - WB), fedha zitakazotumika kwa ajili ya kuboresha sekta…
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli ametoa wito kwa wakulima na wadau wa Kilimo kutumia Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika 2023 (AGRF) katika kujitangaza ili kuweza kunufaika na fursa za masoko ya ndani na nje ya nchi.Katibu…
Hon. Hussein Bashe (MP), Minister for Agriculture held a press conference today on 5 September 2023 together with Dr. Agnes Kalibata, President of AGRA along the margins of the Africa Food Systems Forum 2023 in Dar es Salaam. …
Vice President of the United Republic of Tanzania Hon. Dr. Philip Isdor Mpango, joined by Hon. Hussein Bashe (MP), Minister for Agriculture and other distinguished stakeholders in a group photo after he official opened a high-level…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amefanya ziara a kukagua maendeleo ya ujenzi yanayofanyika katika shamba la pamoja la Chinangali ambalo limeandaliwa kwa ajili ya vijana wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT-Kilimo).Shamba…