Skip to main content

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TANGAZO KWA UMMA

TANGAZO KWA UMMA Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe anautangazia Umma kuwa, Wizara imeandaa Mkutano wa Wafanyabiashara wote wa mazao ya nafaka ndani na nje ya nchi. Walengwa wa mkutano huo ni: - Wasindikaji, Wamiliki…