Bajeti ya Mwaka 2024/2025
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025 tarehe 2 Mei 2024, Bungeni jijini Dodoma.