KATIBU MKUU MWELI AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA CHAI DUNIANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Mweli amekagua mabanda ya maonesho ya wadau na wazalishaji wa chai.
Katibu Mkuu Mweli amepita kuona utayari wa wadau hao katika kuadhimisha Siku ya Chai Duniani ambayo kitaifa kilele chake kinafanyika leo jijini Dodoma.
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe