Skip to main content
Habari na Matukio

KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO MHE. GERALD MUSABILA KUSAYA AKIAPISHWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Pombe Magufuli akimuapisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhe. Gerald Musabila Kusaya mara baada ya kumteua kushika nyadhifa hiyo. Hafla hiyo ilifanyika  IKULU jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Kilimo Mhe.Japhet Hasunga alishiriki pia.