Skip to main content
Habari na Matukio

MHESHIMIWA WAZIRI WA KILIMO,DKT CHARLES TIZEBA

MHE. WAZIRI WA KILIMO,DKT CHARLES TIZEBA ANAUKARIBISHA UMMA NA  WATANZANIA WOTE WAKIWEMO WAKULIMA, WAFUGAJ,I WASINDIKAJI NA WANAUSHIRIKA WOTE 

KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKULIMA NANENANE  INAYOFANYIKA KITAIFA MKOANI SIMIYU KUANZIA TAREHE 1-8 /8 2018

AMBAPO PIA YANAFANYIKA KATIKA KANDA MBALIMBALI ZINAZOHUSISHA MIKOA YOTE HAPA NCHINI 

WOTE MNAKARIBISHWA