Skip to main content
Habari na Matukio

NAIBU WAZIRI WA KILIMO HUSSEIN BASHE AKUTANA NA VYAMA VYA USHIRIKA KILIMANJARO KUTATUA MIGOGORO YA MASHAMBA

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Akutana na Vyama vya Ushirika Kilimanjaro Kutatua Migogoro ya Mashamba

  • Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021, Kulia ni Mbunge wa jimbo la Hai Mhe.Saashisha Mafuwe .
  • Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021.
  • Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akitoa taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kufuatilia migogoro hiyo ili kupata utatuzi wake mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.
  • Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akiwa katika kikao hicho na Mkuu wa wilaya Mwanga Ndg. Thompson Mwan'onda wakati mkutano huo ulipokuwa ukiendelea.
  • Mmoja wa wanachama wa vyama hivyo vya ushirika Mkoani Kilimanjaro akichangia maoni yake wakati kikao hicho kikiendelea.
  • Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya wanachama na wajumbe wa bodi za vyama vya ushirika mkoani Kilimanjaro wakishiriki Mkutano huo.