Taarifa kwa umma kuhusu kuongeza muda wa kutuma maombi kujiunga na vyou vya kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (KILIMO) Mhandisi, Mathew Mtigumwe, anawatangazia Watanzania wote kuwa muda wa kutuma
maombi ya kujiunga na Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo katika kozi ya Stashahada na Astashahada umeongezwa hadi tarehe 8/8/2017.