Skip to main content
Habari na Matukio

UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO BW. GERALD MUSABILA KUSAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gerald Musabila Kusanya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo. Uteuzi wa Bw. Kusanya unaanza mara moja leo tarehe 05 Machi, 2020.