Skip to main content
Habari na Matukio

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma.

Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika hilo na wizara na kuona njia za kuweza kuona njia za pamoja na kuinua sekta ya kilimo nchini.

IFAD ni mshirika mkubwa wa maendeleo katika sekta ya kilimo nchini Tanzania.