Waziri wa Kilimo Prof.Adolf Mkenda akitazama mashine inayotumika na wakulima wadogo wa chai
Waziri wa Kilimo Prof.Adolf Mkenda akitazama mashine inayotumika na wakulima wadogo wa chai kijiji cha Lwangu wilaya ya Njombe kuvuna majani mabichi ya chai.