Ziara ya Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mkoani Mtwara
Mhe. Eng. Christopher K. Chiza (MB) Waziri wa Kilimo Chakula na ushirika akikagua ujenzi wa ghala la TANECU (Tandahimba Newala Cooperative Union) Ghala hilo litakuwa na uweza wa kuhifadhi tani 10,000 za korosho na linajengwa Tandahimba .
Ghala hilo ni maandalizi ya ujenzi wa kiwanda cha kubangulia korosho kitakachojengwa na TANECU.