Highlights

Invitation for Tenders - Supply of Sunflower Seeds

The Government of the United Republic of Tanzania has set aside funds for the operation of the Agricultural Seed Agency (ASA) during the financial year 2021-2022. It is intended that part of the proceeds of the fund will…

Read more

MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote za mkoa wa Dodoma zianzishe vitalu vya kuzalisha miche ya zabibu ili kuwawezesha wakulima kupata mbegu kwa uhakika. Pia, Waziri Mkuu amevitaka vyama vya ushirika wa…

Read more

WAKULIMA MILIONI 2 WASAJILIWA KWENYE MFUMO WA M- KILIMO - BASHE

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara imefanikiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utambuzi wa wakulima ambapo hadi sasa kupitia Mfumo wa M-Kilimo tayari wakulima 1,979,662 na Maafisa Ugani…

Read more

WAKULIMA LIMENI ALIZETI MPATE FAIDA YA HARAKA – WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAKULIMA LIMENI ALIZETI MPATE FAIDA YA HARAKA – WAZIRI MKUU MAJALIWA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mchana wa leo tarehe 13 Juni, 2021 amewaasa Wakulima wa mikoa inayolima…

Read more

TUMEDHIBITI KWA MAFANIKIO VISUMBUFU VYA MAZAO NA TUTAENDELEA KUVIDHIBITI - WAZIRI MKENDA

TUMEDHIBITI KWA MAFANIKIO VISUMBUFU VYA MAZAO NA TUTAENDELEA KUVIDHIBITI - WAZIRI MKENDA Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 13 Mei, 2021 amewatoa hofu Watanzania kuhusu uwepo wa wadudu na ndege waharibifu wa mazao…

Read more

TUTAPAMBANA NA SOKO LA MUHOGO- MKENDA

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 7/5/2021  amekutana na wadau wa zao la muhogo ili kujadili fursa za masoko zilizopo katika kukuza uchumi wa nchi na kuongeza kipato kwa mkulima. Kikao hicho kimefanyika…

Read more

MARUFUKU KUONGEZA BEI ELEKEZI YA MBOLEA NCHINI-PROF. MKENDA

 Serikali imesema ni marufuku kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kuongeza bei elekezi ya mbolea bali ihakikishe wakulima wanapata mbolea bora na kwa wakati. Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda ametoa…

Read more

MNADA WA CHAI NCHINI KUANZA MWAKA HUU – NAIBU WAZIRI BASHE

MNADA WA CHAI NCHINI KUANZA MWAKA HUU – NAIBU WAZIRI BASHE Naibu Waziri Kilimo Mhe. Hussein Bashe leo mchana tarehe 15 Aprili, 2021 amekutana na Wadau wa Sekta ndogo ya zao la chai kutoka Serikalini na Sekta binafsi…

Read more