Highlights

TANZANIA NI NCHI SALAMA,WAWEKEZAJI JENGENI VIWANDA- MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kuja Tanzania na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo ikiwemo zao la mkonge. Ametoa wito huo leo (21.01.2021) wakati…

Read more

HALMASHAURI ZIANZISHE VITALU VYA MBEGU ZA MKONGE - MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa wakulima ili kufufua mashamba zaidi na kuongeza uzalishaji zao la mkonge…

Read more

MIRADI 11 YA ERPP MOROGORO YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97-KUSAYA

Wizara ya Kilimo imefanikiwa kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo mkoani Morogoro na itakabidhiwa kwa wakulima mwisho wa mwezi huu. Hayo…

Read more

NAIBU WAZIRI BASHE AONGOZA ZOEZI LA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA KUONGEZA TIJA NA UZALISHAJI WA PAMBA

NAIBU WAZIRI BASHE AONGOZA ZOEZI LA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA KUONGEZA TIJA NA UZALISHAJI WA PAMBA MWAKA 2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Jana) tarehe 17 Januari, 2021 ameongoza tukio la kihistoria la utiaji saini…

Read more

WAZIRI BASHE AWAHAMASISHA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA

WAZIRI BASHE AWAHAMASISHA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Jana) tarehe 17 Januari, 2021 amewasili mkoa wa Simiyu kwa ajili ya tukio la tukio la kihistoria la utiaji…

Read more

TUMEAMUA KUANZISHA MFUKO WA UMWAGILIJIA KATIKA KILA SKIMU - NAIBU WAZIRI BASHE

TUMEAMUA KUANZISHA MFUKO WA UMWAGILIJIA KATIKA KILA SKIMU - NAIBU WAZIRI BASHE Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo kuanzia mwaka huu wa fedha wa 2020/2021 imeamua kuanzisha mfuko wa maendeleo…

Read more

NAIBU WAZIRI BASHE AAGIZA TAKUKURU KUANZA UCHUNGUZI WA UPOTEVU WA MILIONI 150 ZA AMCOS YA CHABUMA

NAIBU WAZIRI BASHE AAGIZA TAKUKURU KUANZA UCHUNGUZI WA UPOTEVU WA MILIONI 150 ZA AMCOS YA CHABUMA Naibu Waziri Kilimo Hussein Bashe leo tarehe 7 Januari, 2021 ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya…

Read more

WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA AKABIDHI MAGARI MANNE KWA WARAJIS WASAIDIZI

WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA AKABIDHI MAGARI MANNE KWA WARAJIS WASAIDIZI Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Makenda leo tarehe 6 Januari, 2021 amekabidhi wa magari manne aina ya Nissan Hard N 300 Double Cabin 4WD yenye thamani…

Read more