WAZIRI BASHE AKARIBISHA WAWEKEZAJI WA KILIMO
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Tanzania ipo tayari kushirikiana na kampuni kubwa duniani kuwekeza kwenye kilimo ili kukiongezea thamani na kuhakikisha usalama wa chakula unazingatiwa.Akihutubia kwenye Maonesho ya Biashara…