News and Events

WIZARA YA KILIMO YAPONGEZWA KWA KUFUTA VYAMA VYA USHIRIKA 2,539

Wizara ya Kilimo imepongezwa kwa uamuzi wa kuvifuta vyama vya ushirika 2,539 ambavyo vilikuwa na utendaji mbovu uliosababisha kero kwa wanaushirika nchini. Pongezi hizo zimetolewa leo (03.08.2020) naWaziri wa Nchi ,Ofisi…

Read more

SERIKALI YA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI YATOA KIASI CHA BILIONI 78 ILI KUDHIBITI SUMUKUVU – KATIBU MKUU

Serikali ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli imetoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 35.3 sawa na bilioni 78 fedha Kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini (Tanzania Prevention for Afflatoxin…

Read more

KATIBU MKUU KILIMO KUSAYA AGAWA PIKIPIKI 18 KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya amesema kuwa serikali imeendelea kuboresha sekta ya kilimo kwa kutoa Dola Milioni 35.3 kwa ajili ya kuwezesha mapambano dhidi ya Sumukuvu katika mazao ya wakulima nchini. Hayo yamebainishwa…

Read more

KATIBU MKUU KILIMO ASIMAMISHA SHUGHULI ZA TAASISI YA STAWISHA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya muda mfupi uliopita; ameagiza kusimamishwa mara kuanzia leo tarehe 21 Julai, 2020 kwa shughuli za Taasisi ya Kuendeleza zao la Viazi Mviringo (STAWISHA) ya Jijini Mbeya. Mradi…

Read more

WIZARA YA KILIMO YAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA MBOGA MBOGA NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya leo (tarehe 20/07/2020 ) amesaini mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Kilimo na World Vegetable Center ili kuboresha utafiti na uendelezaji wa mazao ya mboga mboga ili kusaidia…

Read more

SERIKALI KUENDELEA KUNUNUA MAZAO YA WAKULIMA-KM KUSAYA

Wakulima nchini wamehakikishiwa kuwa serikali itaendelea kununua mazao yao kwa ajili ya kuongeza hifadhi ya kutosha ili kuwa na uhakika na usalama wa chakula nchini. Kauli hii ya serikali imetolewa leo wilayani Mbalali na…

Read more

WATANZANIA WEKEZENI KWENYE VIWANDA VYA MBOLEA- KATIBU MKUU KUSAYA

Wawekezaji wa ndani ya nchi wamehamasishwa kujitokeza kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini ili kusaidia upatikanaji wa mbolea bora na yenye gharama nafuu kwa wakulima. Katibu Mkuu wizara ya Kilimo Gerald…

Read more

KATIBU MKUU KILIMO AKEMEA KASI NDOGO YA MKANDARASI UJENZI WA VIHENGE NFRA MAKAMBAKO

Wakala wa Ujenzi (TBA) wametakiwa kufanya kazi ya kumsimamia kwa karibu mkandarasi wa ujenzi wa vihenge vya kisasa na maghala akamilishe kazi mapema kabla ya mwisho wa mwaka huu ili nchi iweze kuongeza uwezo wa kuhifadhi…

Read more