News and Events

KATIBU MKUU KILIMO ARIDHISHWA NA SKIMU YA UMWAGILIAJI MVUMI KILOSA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amesema ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa skimu ya umwagiliaji kijiji cha Mvumi wilaya ya Kilosa ambayo imefikia asilimia 94 ya ujenzi na tayari wakulima wameanza kunufaika . Ametoa…

Read more

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ndugu Wanahabari, nimewaita leo hapa ili niweze kuzungumza nanyi na umma wa Watanzania wote kuhusiana na Maendeleo ya vyama vya ushirika hapa nchini. UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Kama sote tunavyofahamu kuwa Chama cha Ushirika…

Read more

VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO

Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo ( MATI) vimeagizwa kuhakikisha vinatumia wataalam wakufunzi na rasilimali ardhi kuzalisha mazao mengi bora ili kuwa na uhakika wa kipato na kujiendesha kibiashara. Agizo hilo limetolewa leo Jumanne…

Read more

KUSAYA: AGIZO LA WAZIRI MKUU KUHUSU MBEGU BORA ZA MICHIKICHI LATEKELEZWA KIGOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo amewapongeza watafiti wa mbegu za michikichi kwa kuongeza uzalishaji wa mbegu bora na kuwataka  watumie muda mfupi zaidi wa kuzalisha na kuzisambaza kwa wakulima nchini Agizo hilo limetolewa…

Read more

TATHMINI YA UNUNUZI WA PAMBA KUFANYIKA KABLA MSIMU

Serikali imesema inafanya tathmini ya hali ya ununuzi wa zao la pamba msimu wa mwaka 2019 ili kuondoa changamoto zilizojitokeza kabla msimu mpya wa ununuzi kuanza mwaka huu. Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Chato mara…

Read more

“SIJARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA GEITA”-KM KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ametembelea Chama Kikuu cha Mkoa wa Geita (Geita Cooperative Union-GCU) kilichopo Kasamwa wilaya ya Geita  na kutoridhishwa na hali ya kiwanda cha kuchambua pamba kushindwa kufanya kazi muda…

Read more

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha Ukiriguru mkoani Mwanza imefanikiwa kugundua aina kumi za mbegu bora za zao la pamba kwa ajili ya kusambazwa kwa wakulima nchini. Hayo yamebainishwa leo (30.04.2020)…

Read more

CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA NYANZA CHATAKIWA KUJITEGEMEA KIMAPATO-KUSAYA

Mwanza. Wizara ya Kilimo imekiagiza Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Mwanza (Nyanza) kubuni njia muafaka za kujitegemea kiundeshaji kwa kutumia rasilimali nyingi ilizonazo. Agizo hilo limetolewa leo(30.04.2020) Jijini Mwanza…

Read more