WATUMISHI WAPYA KILIMO WAPIGWA MSASA KUHUSU MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA
Jumla ya Watumishi 36 wa Wizara ya Kilimo Makao Makuu leo tarehe 4 Februari, 2021 wameanza kupata mafunzo yenye lengo la kuwajengea uelewa kuhusu maadili ya utumishi wa umma pamoja na utoaji wa huduma kwa umma.Akifungua mafunzo hayo…