News and Events

UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO BW. GERALD MUSABILA KUSAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gerald Musabila Kusanya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo. Uteuzi wa Bw. Kusanya unaanza mara moja leo tarehe 05 Machi, 2020.

Read more

WAHITIMU WA VYUO VYA KILIMO WATAKIWA KUANZISHA MASHAMBA YA MFANO,KUELIMISHA WAKULIMA

Na Bashiri Saluma Arusha Serikali imewataka wahitimu wa vyuo vya kilimo kote nchini kutumia fursa ya uhaba wa maafisa ugani ulioko nchini kwa kwenda kutoa elimu kwa wakulima na kuanzisha mashamba ya mfano  kwa wakulima…

Read more

MRADI WA UMEME WA NYERERE NI FURSA YA KILIMO KWA VIJANA-MGUMBA

Serikali imesema kukamilika kwa mradi wa kufua umeme wa Nyerere katika mto Rufiji ni fursa ya uhakika ya vijana kufanya kazi ya kilimo cha umwagiliaji kwa tija zaidi. Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amesema hayo leo (27.02.2020)…

Read more

BASHE KUINUA ZAO LA ZABIBU DODOMA

Serikali  imeunda timu ya watu 12, huku ikiwapa siku 10 kuhakikisha wanafanya utafiti wa zao la Zabibu kama linaleta hasara au faida kwa mkulima  na Serikali kiujumla. Aidha timu hiyo pia imeagizwa kujua magonjwa…

Read more

WIZARA YAKAMILISHA MWONGOZO WA KILIMO CHA MPUNGA

Iringa, Wizara ya Kilimo imekamilisha maandalizi ya miongozo itakayotumiwa na wakulima wa Mkoa wa Iringa kuwezesha kufahamu kanuni na teknolojia bora za uzalishaji na usimamizi wa zao la mpunga baada ya kuvuna. Akizungumza…

Read more

SERIKALI YACHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI KUHAKIKISHA MBOLEA ZINAPATIKANA ZA KUTOSHA-MHE MGUMBA

Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa pembejeo nchini, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha pembejeo zinapatikana kwa wingi ili kutosheleza mahitaji ya ndani ya nchi. Hatua hizo ni pamoja na; kutoa vibali kwa wasambazaji…

Read more

AZAO YOTE YA KIMKAKATI YANASIMAMIWA NA BODI ZA MAZAO SIO USHIRIKA-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameliarifu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mazao yote ya kimkakati yanasimamiwa na Bodi za Mazao husika sio vyama vya Ushirika. Mhe Hasunga ameyasema hayo leo tarehe…

Read more