Press Release

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TANZANIA HAIJAVAMIWA NA NZIGE WA JANGWANI

Dodoma, 09 Februari, 2020 Waziri wa Kilimo Mhe.JaphetN.Hasunga (Mb) leo Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo…

Read more

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TISHIO LA KUVAMIWA NA NZIGE WA JANGWANI MSIMU WA 2019/2020

Dodoma, 29 Januari, 2020 Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) anautaarifu umma na wananchi kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kufuatiliaji viashiria vya uwepo wa Nzige wa Jangwani (Locust Desert) na…

Read more

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSUDIO LA SERIKALI KUVIFUTA VYAMA VYA USHIRIKA 3,436 VISIVYOKIDHI MASHARTI

1.0 UTANGULIZI Chama cha Ushirika ni chama kinachoanzishwa kwa hiari ya watu wenye lengo la kutatua tatizo au shughuli ya kiuchumi na kijamii inayolenga katika kuwabadilisha wananchama kiuchumi au kimaisha.  Ushirika…

Read more
Katibu Mkuu Kilimo, Eng. Mathew Mtigumwe

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UZINDUZI WA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO LA MPUNGA AWAMU YA PILI:2019-2030

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew J. Mtigumwe anawatangazia wananchi na wadau wa kilimo nchini kuhusu kufanyika kwa uzinduzi wa Mkakati wa Kuendeleza Zao la Mpunga Awamu ya Pili (National Rice Development Strategy…

Read more

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAKULIMA KUTUMIA MVUA ZA MSIMU ZILIZOANZA KUNYESHA NA ZA VULI KUPANDA MAZAO

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga,…

Read more

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HATUA ALIZOCHUKUA WAZIRI WA KILIMO KUFUATIA UBADHIRIFU KWENYE BODI YA KOROSH

Dodoma, 17 Novemba, 2019 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HATUA ALIZOCHUKUA WAZIRI WA KILIMO KUFUATIA UBADHIRIFU BODI YA KOROSHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kuwa…

Read more