KUANZIA TAREHE 15 AGOSTI, 2022 WAKULIMA WATANUNUA MBOLEA KWA NUSU BEI – WAZIRI BASHE
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe leo tarehe 9 Agosti, 2022 akiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kijiji cha Iwawa Mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe amewaambia Wakulima…