Wakurugenzi na wakuu wa vitengo wa wizara mara baada ya kushuhudia makabidhiano.


Picha ya pamoja kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya (katikati mstari wa kwanza) na

Wakurugenzi na wakuu wa vitengo wa wizara mara baada ya kushuhudia makabidgiano ya ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Mhandisi Mathew Mtigumwe (wa kwanza Kulia mstari wa mbele)
IMG 5205- Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya ( wa kwanza kulia) akiongea na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa wizara ya Kilimo Hilda Kinanga mara baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Prof Siza Tumbo.