Wakulima wa muhogo walia na Miundombinu ya usafirishaji.

Wakulima wa zao la muhogo Mkoa wa Pwani  wamesema ukosefu wa miundombinu  imara ya usafirishaji  husasani barabara kutoka  mashambani kuingia mjini imekuwa ikikwamisha soko la bidhaa hiyo,

Akizungumza na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Kilimo  Afisa Kilimo  Wilaya ya Mkuranga Bi Julitta Bulali amesma uzalishaji wa zao la muhongo  umeongeza japo kuna changamoto ya ufikwaji mashambani hasa wakati wa mvua hivyo kusababisha kudorara kwa soko la zao hilo.

amesema moja ya changamoto wanazokabiliana nazo ili kuimarisha uzalishaji wa zao hilo ni namna ya upandaji wenye lengo la  kuongeza idadi ya mimea shambani.

""wapo wakulma wanasema wanalima ekari tano lakini mazao yanakuwa ni kama ekambili au tatu " alisema Bi  Julita.