Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandis. Mathew Mtigumwe atembelea mabanda   Siku ya Chakula Dunian

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandis. Mathew Mtigumwe akisikiiza maelezo kutoka kwa washiriki wa monesho ya bidhaa za chakula na lishe alipotembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho hayo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia leo mjini Singida. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019